Ufafanuzi wa zihi katika Kiswahili

zihi

nominoPlural zihi

  • 1

    nguvu inayomwezesha mtu kuendelea na kazi bila ya kuchoka upesi.

    ‘Unene wake ni bure, hana zihi hata kidogo’

  • 2

    kani

Matamshi

zihi

/zihi/