Ufafanuzi wa ziki katika Kiswahili

ziki

nominoPlural ziki

  • 1

    mshono wa ziada unaokuwepo juu ya kanzu ya kazi ya darizi, agh. shingoni.

Matamshi

ziki

/ziki/