Ufafanuzi wa zimua katika Kiswahili

zimua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kilicho kikali au moto kuwa baridi.

    ‘Maji yamechemka sana, kabla hujayaogea yazimue kidogo’
    chapwisha

  • 2

    fanya kilicho baridi sana kipungue ubaridi.

Matamshi

zimua

/zimuwa/