Ufafanuzi wa zimwe katika Kiswahili

zimwe

kivumishi

  • 1

    -enye kuzimwa; -enye kutokuwa na moto.

  • 2

    -siyokuwa na kitu ndani, agh. nazi.

Matamshi

zimwe

/zimwɛ/