Ufafanuzi wa zimwi katika Kiswahili

zimwi

nominoPlural mazimwi

  • 1

    kiumbe anayedhaniwa kuwa anaishi, mwenye uwezo wa kujibadilisha katika hali mbalimbali ambaye anaaminiwa kuwa anadhuru na kusemekana kwamba anaishi katika misitu mikubwa.

    mzuka

Matamshi

zimwi

/zimwi/