Ufafanuzi wa zinaa katika Kiswahili

zinaa

nomino

  • 1

    tendo la uasherati.

Asili

Kar

Matamshi

zinaa

/zina:/