Ufafanuzi wa zindika katika Kiswahili

zindika

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa imara kwa kufanyia dawa zenye uwezo wa kukinga madhara.

Matamshi

zindika

/zindika/