Ufafanuzi wa zinduka katika Kiswahili

zinduka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toka katika bumbuazi au kuzirai; toka katika hali ya kutoelewa jambo.

  • 2

    amka, kengeuka

Matamshi

zinduka

/zinduka/