Ufafanuzi wa zinduko katika Kiswahili

zinduko

nominoPlural mazinduko

  • 1

    tendo la kutoka katika hali ya kutoelewa jambo.

    inkishafi

Matamshi

zinduko

/zindukɔ/