Ufafanuzi wa zinduo katika Kiswahili

zinduo

nomino

  • 1

    tendo la kutoa katika bumbuazi; tendo la kutanabahisha; tendo la kuzindua.

Matamshi

zinduo

/zinduw…Ē/