Ufafanuzi wa zingifuri katika Kiswahili

zingifuri

nomino

  • 1

    tunda kama nyanya ndogo lenye rangi ya manjano mbivu ambalo huliwa.

Asili

Kar

Matamshi

zingifuri

/zingifuri/