Ufafanuzi wa zingira katika Kiswahili

zingira

kitenzi elekezi

  • 1

    zunguka kitu kila upande ili kiwe katikati k.v. wakati wa kutaka kukamata kitu au mtu.

    husuru, zunguka