Ufafanuzi wa zirai katika Kiswahili

zirai

kitenzi sielekezi~ika, ~isha, ~lia

  • 1

    potewa na fahamu.

    zimia, ghumiwa

Asili

Kar

Matamshi

zirai

/zirai/