Ufafanuzi wa Ziraili katika Kiswahili

Ziraili, Izraili

nominoPlural Ziraili

Kidini
  • 1

    Kidini
    malaika anayesadikiwa kuleta mauti.

Asili

Kar

Matamshi

Ziraili

/ziraIli/