Ufafanuzi wa zizi katika Kiswahili

zizi

nominoPlural mazizi

  • 1

    ua au boma lililojengwa maalumu kwa kufugia mifugo k.v. ng’ombe, mbuzi au punda.

    faja

Matamshi

zizi

/zizi/