Ufafanuzi wa zizima katika Kiswahili

zizima

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shika baridi k.v. kwa mwili, maji au kitu kingine.

    ‘Mwili unamzizima’
    ‘Maji yanazizima’

Matamshi

zizima

/zizima/