Ufafanuzi wa zoba katika Kiswahili

zoba, zobe

kivumishi

  • 1

    -sio au -siye na uelewa wa mambo.

    jinga

Matamshi

zoba

/zɔba/