Ufafanuzi wa zoea katika Kiswahili

zoea

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~lewa, ~sha, ~za, ~wa

  • 1

    kuwa na hali au tabia ya kufanya jambo moja mara kwa mara hata kufikia hali ya kutoweza kuepukana nalo.

Matamshi

zoea

/zɔɛja/