Ufafanuzi wa zoezi katika Kiswahili

zoezi

nominoPlural mazoezi

  • 1

    tendo linalofanywa na mtu ili kupima ujuzi wake au kuwa na uwezo juu ya jambo fulani.

    ‘Zoezi la kwanza’
    jaribio, darasa

Matamshi

zoezi

/zɔɛzi/