Ufafanuzi wa zonga katika Kiswahili

zonga

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    mambo mengi kumzingira mtu.

    ‘Kazi zimemzonga’
    tinga

Matamshi

zonga

/zɔnga/