Ufafanuzi wa zongapindu katika Kiswahili

zongapindu

nominoPlural zongapindu

  • 1

    mdudu wa baharini anayefanana na jongoo lakini aliye laini, mwororo na mrefu zaidi.

    kojokojo

Matamshi

zongapindu

/zɔngapindu/