Ufafanuzi wa zongo katika Kiswahili

zongo

nominoPlural mazongo

  • 1

    ugonjwa wa kuvimba tumbo, agh. kwa watoto, unaosadikiwa kwamba husababishwa na jicho la husuda.

    dege

Matamshi

zongo

/zɔngɔ/