Ufafanuzi wa zongomeza katika Kiswahili

zongomeza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    pinda au vingirisha kitu kama kitambaa ili kukizunguka kitu kingine.

    gagamiza, patiliza

Matamshi

zongomeza

/zɔngɔmɛza/