Ufafanuzi wa zongomo katika Kiswahili

zongomo

nominoPlural mazongomo

  • 1

    kitu, agh. chembamba k.v. waya au uzi wa chuma kilichozungushwa, ambacho hunesa kinapominywa na kuachiliwa.

Matamshi

zongomo

/zɔngɔmɔ/