Ufafanuzi wa zoza katika Kiswahili

zoza

kitenzi sielekezi

  • 1

    bisha kwa maneno makali na kelele; patiliza kwa maneno makali.

    gomba

Matamshi

zoza

/zɔza/