Ufafanuzi wa zubaisha katika Kiswahili

zubaisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu ashikwe na butwaa au akose kuelewa la kufanya.

Matamshi

zubaisha

/zubaIāˆ«a/