Ufafanuzi wa zuga katika Kiswahili

zuga

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu aandame anayoambiwa bila ya kuwa na hiari ya kuimudu akili yake; tia mtu mikononi.

    renga

Matamshi

zuga

/zuga/