Ufafanuzi wa zumari katika Kiswahili

zumari, nzumari

nominoPlural zumari

  • 1

    ala ya muziki inayopigwa kwa kupulizwa na yenye matundu yanayotoa sauti mbalimbali, yenye umbo jembamba upande wa mdomoni na pana upande unaotokea sauti.

Asili

Kar

Matamshi

zumari

/zumari/