Ufafanuzi wa zumbukuku katika Kiswahili

zumbukuku

nomino

  • 1

    mtu asiyefahamu mambo hata yanayofanywa machoni pake.

Matamshi

zumbukuku

/zumbukuku/