Ufafanuzi wa zuru katika Kiswahili

zuru

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda mahali fulani kwa madhumuni ya kutembea au kuonana na mtu au watu.

    ‘Jana niliwazuru marafiki zangu’
    tembelea, ajihi

Asili

Kar