Ufafanuzi wa zuzuka katika Kiswahili

zuzuka

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    fanya mambo ya kipumbavu.

Matamshi

zuzuka

/zuzuka/