Wanachosema watu kuhusu mradi huu

Tunafanya kazi kwa ushirikiano wa karibu na jamii za ndani za lugha ili kuunda kamusi hai. Lengo letu ni kuwafanya watumiaji wajihisi kuwa huru kusaidia na kukuza raslimali za lugha yao.

Lugha zetu nyingi zinasaidiwa na Magwiji wa Lugha asili, wanaoelewa kuhusu lugha na walio na hamu ya kukuza na kusaidia lugha yao wenyewe. Pia, baadhi ya tovuti zetu za OGL zinasimamiwa na Wasimamizi wa Lugha asili, ambao hufanya kazi pamoja na Magwiji wa Lugha na Oxford Dictionaries ili kuhakikisha kuwa tunachofanya kina manufaa kwa jamii wanazozihudumia.


Mtazame Victor Mojela, akijadili umuhimu wa mradi huo kwa lugha ya Kaskazini mwa Sotho.


Dkt. Khumalo ndiye Gwiji wetu wa Lugha wa isiZulu living dictionary.