Ufafanuzi wa -ako katika Kiswahili

-ako

kivumishi

  • 1

    mzizi wa kivumishi kimilikishi cha nafsi ya pili katika umoja.

    ‘Kitabu chako’

Matamshi

-ako

/akɔ/