Ufafanuzi wa -changamfu katika Kiswahili

-changamfu

kivumishi

  • 1

    -enye kuchangamka; -enye furaha.

    chapasi, -cheshi, bashashi, furahifu

Matamshi

-changamfu

/t∫angamfu/