Ufafanuzi wa -ekundu katika Kiswahili

-ekundu

kivumishi

  • 1

    -a rangi inayofanana na damu.

    ‘Nguo nyekundu’
    ahamaru, nyekundu, wekundu

Matamshi

-ekundu

/ɛkundu/