Ufafanuzi wa -eupe katika Kiswahili

-eupe

kivumishi

 • 1

  -enye mwangaza; -sio na giza; kinyume cha -eusi.

  abyadhi, baidhati

 • 2

  -lio dhahiri.

  ‘Uongo mweupe’

 • 3

  ‘Nguo nyeupe’
  ‘Moyo mweupe’
  safi, angavu

 • 4

  -isiyo na kitu ndani.

  tupu

Matamshi

-eupe

/ɛwupɛ/