Ufafanuzi wa -geni katika Kiswahili

-geni

kivumishi

  • 1

    -sio ya asili ya mahali fulani.

    ‘Kiingereza ni lugha ya kigeni katika Afrika’
    ajinabia, ajinabi, baki

  • 2

    -siojulikana kabla.

    ‘Neno hili ni geni kwangu’
    ‘Habari hizi ni ngeni’