Ufafanuzi wa -oga katika Kiswahili

-oga

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kuogopa au kutishika; -enye hofu.

Matamshi

-oga

/ɔga/