Ufafanuzi wa -vivu katika Kiswahili

-vivu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya ulegevu wa kutenda jambo.

    ‘Mtu huyu mvivu sana’

Matamshi

-vivu

/vivu/