Ufafanuzi wa -zito katika Kiswahili

-zito

kivumishi

  • 1

    -siyo rahisi kuchukulika; -enye uzani mkubwa.

    ‘Chuma hiki ni kizito sana’

  • 2

    butu

Matamshi

-zito

/zitɔ/