Ufafanuzi wa -zoevu katika Kiswahili

-zoevu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kufanya jambo moja mara kwa mara au kwa muda mrefu.

Matamshi

-zoevu

/zɔɛvu/