Ufafanuzi wa abwe! katika Kiswahili

abwe!

kiingizi

  • 1

    tamko la kushangilia jambo lisilo la kawaida.

    ‘Abwe Hujui mwanadamu ana miguu mingapi?’

Matamshi

abwe!

/abwɛ/