Ufafanuzi wa ache! katika Kiswahili

ache!

kiingizi

  • 1

    (katika sherehe k.v. harusi au jando) neno la kumtakia mtu furaha na ufanisi.

    ‘Ache wana!’

Matamshi

ache!

/at∫ɛ/