Ufafanuzi wa adhabu katika Kiswahili

adhabu

nominoPlural adhabu

  • 1

    mateso au faini anayotozwa mtu kwa kuvunja kanuni au sheria.

    methali ‘Adhabu ya kaburi aijuaye maiti’
    marudi, ikabu, rada

Asili

Kar

Matamshi

adhabu

/aĆ°abu/