Ufafanuzi wa advansi katika Kiswahili

advansi

nominoPlural advansi

  • 1

    malipo yanayotolewa kabla ya wakati wake kuwadia au kazi kumalizika.

    rubuni, arbuni, kishanzu, chambele

Asili

Kng

Matamshi

advansi

/advansi/