Ufafanuzi wa afiki katika Kiswahili

afiki, wafiki

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kubali fikira au hoja fulani.

  kubali

 • 2

  kubaliana na; patana na; lingana na.

 • 3

  kuwa sawasawa.

  faa, pendeza

Asili

Kar

Matamshi

afiki

/afiki/