Ufafanuzi wa afikiana katika Kiswahili

afikiana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kubaliana na mtu kufanya jambo.

    ‘Tumeafikiana kuanzisha duka la ushirika’
    kubaliana, lingana, elewana, patana

Asili

Kar

Matamshi

afikiana

/afikijana/