Ufafanuzi wa agronomia katika Kiswahili

agronomia

nominoPlural agronomia

  • 1

    taaluma ya sayansi ya udongo na mimea na uhusiano wake na mazingira.

Asili

Kng

Matamshi

agronomia

/agrɔnɔmija/