Ufafanuzi msingi wa ahadi katika Kiswahili

: ahadi1ahadi2

ahadi1

nominoPlural ahadi

 • 1

  sharti analojipa mtu kulitimiza.

  ‘Timiza ahadi’
  ‘Toa ahadi’
  ‘Vunja ahadi’
  methali ‘Ahadi ni deni’
  agano, mapatano, kauli, aburani

Ufafanuzi msingi wa ahadi katika Kiswahili

: ahadi1ahadi2

ahadi2

nominoPlural ahadi

 • 1

  mwisho wa uhai.

  mauti, kifo, hilaki

Asili

Kar

Matamshi

ahadi

/ahadi/