Ufafanuzi wa ahera katika Kiswahili

ahera, akhera

nominoPlural ahera

Kidini
  • 1

    Kidini
    makazi ya roho ya mwanadamu baada ya kufa kwake mpaka siku ya kiyama.

    jongomeo, kuzimu

Asili

Kar

Matamshi

ahera

/ahɛra/